January 9, 2020

Day

Commi cream
Wataalamu wa afya katika Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo wanafanya utafiti wa dawa ya asili inayotokana na mti wa Commiphora (Commiphora swynnertonii) Utafiti huo ambao unaongozwa na Dr Gaymary Bakari (PhD) na Dr Shaban Mshamu umekuwa ukitoa matokeo yanayoleta matumaini juu ya ubora wa dawa hiyo dhidi ya vidonda sugu na matatizo mengine ya...
Read More