Dr B. Temba wa SUA Sumukuvu ni aina ya sumu inayozalishwa na kuvu (fungi) aina ya Aspergillus. Sumu hii huchafua vyakula kwa sababu kuvu wa Aspergillus hupendelea kuota kwenye aina mbalimbali za vyakula kama mahindi, karanga, mihogo mikavu na kadhalika. Zipo aina zaidi ya mia moja za sumu kuvu, lakini moja inayoitwa aflatoxin B1...Read More